Return to search

Circular motifs and structure in Euphrase Kezilahabi’s Nagona and Mzingile and an ongoing Buddhistic study

Nagona na Mzingile, riwaya za mwandishi wa Kiswahili Euphrase Kezilahabi, zinasemekana kuwa na mtindo wa kipekee wa usimuliaji, na simulizi changamano ambalo si rahisi kueleweka. Makala haya yamezichukulia riwaya hizo mbili kama hadithi moja, na kuchunguza muundo wa fumbo unaosababisha upekee wa riwaya hizo. Muundo huo utafunuliwa kuwa ni duara inayorudia uhai na ufu. Nitajaribu kuelewa muundo huo wa duara kutumia fikra ya mwanafalsafa wa dini, Mircea Eliade, na dini ya Ubudha. / Nagona and Mzingile, written by a Swahili author Euphrase Kezilahabi, have been considered to have the unique narrative style and complex storyline, which make the novels difficult to understand. This article regards these two novels as a single inner-connected story to reveal a hidden structure, which makes the novels unique. This structure turns out to be a cycle which regularly repeats birth and death. I will try to analyse this circular structure by using thoughts of a theologian Mircea Eliade and Buddhism.

Identiferoai:union.ndltd.org:DRESDEN/oai:qucosa:de:qucosa:15399
Date10 March 2017
CreatorsOnoda, Fuko
ContributorsOsaka University, Universität Leipzig
Source SetsHochschulschriftenserver (HSSS) der SLUB Dresden
LanguageEnglish
Detected LanguageEnglish
Typedoc-type:article, info:eu-repo/semantics/article, doc-type:Text
SourceSwahili Forum 23 (2016), S. 76-97
Rightsinfo:eu-repo/semantics/openAccess
Relationurn:nbn:de:bsz:15-qucosa-220584, qucosa:15405

Page generated in 0.0021 seconds