Makala haya yanashughulikia maswahli ya udhanaishi katika fasihi ya Kiswahili. Makala yanalinganisha riwaya mbili, Mgeni ya mwandishi wa Kifaransa anayeitwa Albert Camus na Kichwamachi ya mwandishi wa Kiwahili, Euphrase Kezilahabi, na kuonyesha jinsi riwaya hizo zinayofanana na zinavyotofautiana. Kwa vile Kichwamaji inafanana na Mgeni, ni sahihi humwita Kezilahabi mwandishi ya udhanaishi, lakini kuna tofauti nyingi pia baina ya riwaya hizo mbili. Tofauti moja ni kwamba Albert Camus anamtazama mtu peke yake na hali yake iliyotengwa kabisa na watu wengine, na Kezilahabi, licha ya mtu peke yake, anaizingatia jamii nzima na hali yake vilevile. Tofauti hii ni tokeo la sifa za communalism katika mawazo Kiafrika ya kimapokeo yanayotilia mkazo jamaa na jami, siyo mtu peke yake. / This article analyses and compares the the two writings Kichwamaji by Euphrase Kezilahabi and L´etranger by Albert Camus. Written in the tradition of existentialism, the two writings have many similarities but also differ in some important aspects. While Camus sees the individual just by itself, Kezilahabi also includes the whole family and is writing with it in the tradition of the african communalism.
Identifer | oai:union.ndltd.org:DRESDEN/oai:qucosa.de:bsz:15-qucosa-97684 |
Date | 30 November 2012 |
Creators | Řehák, Vilém |
Contributors | Charles University, Praha, Insitute of Near East and African Studies, Universität Mainz, Institut für Ethnologie und Afrikastudien |
Publisher | Universitätsbibliothek Leipzig |
Source Sets | Hochschulschriftenserver (HSSS) der SLUB Dresden |
Language | English |
Detected Language | Unknown |
Type | doc-type:article |
Format | application/pdf |
Source | Swahili Forum; 14(2007), S. 135-151 |
Page generated in 0.0023 seconds