Katika mapitio hayo, Irene Brunotti aliye Mhadhiri wa Lugha na Taaluma za Kiswahili na Mtafiti wa Chuo Kikuu cha Leipzig anausifu umakinifu wa uchambuzi wa hadhara za Kiislamu za Waswahili uliofanywa na Kai Kresse katika kitabu chake. Anatoa hoja mbalimbali za kusisitiza kwamba kazi hiyo ni mchango wenye thamani kubwa sana katika Taaluma za Kiswahili, Anthropolojia, Falsafa, Ubaadaukoloni na nyingi nyinginezo. / In this review of Kai Kresse’s book, Irene Brunotti, Lecturer in Kiswahili and Swahili Studies and Researcher at the University of Leipzig, highlights the humble attentiveness with which Kresse analyses Swahili Muslim Publics. She advances a variety of arguments which emphasize that Kresse’s is an excellent contribution to Swahili Studies, Anthropology, Philosophy, Postcolonial Studies, and a number of other disciplines.
Identifer | oai:union.ndltd.org:DRESDEN/oai:qucosa:de:qucosa:72140 |
Date | 14 September 2020 |
Creators | Brunotti, Irene |
Contributors | Universität Leipzig |
Source Sets | Hochschulschriftenserver (HSSS) der SLUB Dresden |
Language | Swahili |
Detected Language | English |
Type | info:eu-repo/semantics/publishedVersion, doc-type:article, info:eu-repo/semantics/article, doc-type:Text |
Rights | info:eu-repo/semantics/openAccess |
Relation | 1614-2373, urn:nbn:de:bsz:15-qucosa2-721318, qucosa:72131 |
Page generated in 0.0021 seconds