Ustadh Mau ni jina la hirimu la Mahmoud Ahmad Abdulkadir. Ni muAmu halisi: ni mzaliwa wa Amu, alikuwa mwanafunzi kule, na leo ni miongoni mwa viongozi wa dini wa Amu. Pia ni mfadhili wa miradi mingi. Umaarufu wake umeeneya kwa sababu ya vipaji vyake vya ushairi. Utungaji wa Kiswahili ni mfano mmoja katika vipaji hivi. Mashairi haya, alioandika kwa herufi za kiArabu, yanatafautisha hali ya kiSwahili ilivyokuwa zamani na ilivyo sasa. Ustadh Mau analalamika kukhusu hali ya lugha hii, hasa katika sehemu za uSwahili wa kaskazini. Katika wakati ujao kiSwahili kitakuwa hali gani?
Identifer | oai:union.ndltd.org:DRESDEN/oai:qucosa:de:qucosa:12327 |
Date | 27 March 2014 |
Creators | Mahmoud, Ahmad Abdulkadir, Frankl, P. J. L. |
Contributors | Universität Leipzig |
Source Sets | Hochschulschriftenserver (HSSS) der SLUB Dresden |
Language | English |
Detected Language | Unknown |
Type | doc-type:article, info:eu-repo/semantics/article, doc-type:Text |
Source | Swahili Forum 20 (2013), S. 1-18 |
Rights | info:eu-repo/semantics/openAccess |
Relation | urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-138577, qucosa:12392 |
Page generated in 0.002 seconds