Return to search

Mazungumzo na Adam Shafi juu ya uandishi wake wa riwaya

Adam Shafi aliyezaliwa mwaka 1940 kisiwani Unguja ni mmojawapo wa waandishi mashuhuri wa riwaya ya Kiswahili. Hivi sasa mwandishi yumo mbioni kukamilisha muswada wa riwaya yake ya sita iitwayo Mtoto wa Mama. Mbali na uandishi, Adam Shafi aliwahi kufanya kazi mbalimbali za uandishi wa habari na kazi za ushirika wa kimataifa. Ni furaha yetu kubwa kuwa hatimaye tunaweza kutoa mazungumzo hayo baada ya kuyapitia na kuyahariri kidogo tu, kwa vile tunaamini utamu wa lugha inavyozungumzwa katika hali halisi ya maisha una nguvu ya kiujumi inayoweza kumvutia msomaji zaidi.

Identiferoai:union.ndltd.org:DRESDEN/oai:qucosa:de:qucosa:11742
Date03 December 2012
CreatorsDiegner, Lutz, Shafi, Adam
ContributorsHumboldt-Universität zu Berlin, Universität Mainz
Source SetsHochschulschriftenserver (HSSS) der SLUB Dresden
LanguageSwahili
Detected LanguageUnknown
Typedoc-type:article, info:eu-repo/semantics/article, doc-type:Text
SourceSwahili Forum; 18(2011), S. 37-68
Rightsinfo:eu-repo/semantics/openAccess
Relationurn:nbn:de:bsz:15-qucosa-94462, qucosa:11600

Page generated in 0.0017 seconds