Return to search

Mashairi ya waadhi `verses of admonition`:

Aliyetunga kasiga hii, Sheikh Abgallah al-Husni, alikuwa ni mtu maarufu sana Mombasa .. Kwa muda wa myaka arobaini takriban alikuwa akisomesha elimu za gini, msikiti wa Anisa, Mjuwakale; piya alikuwa akitoa waadhi msikiti huu na mahali pengine .. Antunga kasiga mbili za waadhi, moja katika hizo ndiyo hii tuliyoishereheya katika makala haya .. W akati wa kutungwa waadhi huu - 1368 (mwaka 1948 wa milagi) - Mombasa ilikuwa ikali mji wa kiSawahili, yaani mji wa kilsilamu; lakini kulikuwa kuna mabadiliko makubwa yaanza, mabadiliko ambayo mwisho yanaondowa sura za uSawahili katika Mombasa na pwani nzima ya Afrika ya mashariki.

Identiferoai:union.ndltd.org:DRESDEN/oai:qucosa.de:bsz:15-qucosa-95272
Date15 October 2012
CreatorsFrank, P. J. L., Omar, Yahya Ali
ContributorsThe Vicarage,, School of Oriental and African Studies,, Universität zu Köln, Institut für Afrikanistik
PublisherUniversitätsbibliothek Leipzig
Source SetsHochschulschriftenserver (HSSS) der SLUB Dresden
LanguageEnglish
Detected LanguageUnknown
Typedoc-type:article
Formatapplication/pdf
SourceSwahili Forum; 2 (1995), S. 138-157

Page generated in 0.0016 seconds