Return to search

Kejeli na fasihi ya Kiswahili - Tanzania

Irony is a widely used device which plays a large role not only in conversation, but also has impacts on our daily thoughts. In literature, the device of irony has been used in the past and it is still being used by writers today so that readers can think deeply on the presented topic and understand the message and the intended concept. Wamitila (2008: 409) finds that irony is among the many devices which facilitate our conversations, mostly with its capability of indirectly revealing our hidden feelings, views and perspectives. According to Mbatiah (2001: 27) irony is a concept used in speech which can cause a painful realization.
This article discusses the methodologies and different strategies applied in the use of irony within Kiswahili literature. The main argument within the article is that irony can cause the reader to indirectly recognize a deeper meaning within the text. The basic assertion in this article is to highlight how irony has played a large role within Kiswahili literature before independence, after independence, within the Arusha Declaration, and up until this time of globalization. / Kejeli ni mbinu pana, ambayo huchukua nafasi kubwa na kutoa mchango wake si katika mazungumzo tu bali pia katika utoaji wa awazo yetu ya kila siku. Katika fasihi, mbinu ya kejeli imetumiwa na inaendelea kutumiwa na waandishi ili kuiwezesha hadhira/wasomaji wafikirie kwa undani suala linaloongelewa ili waweze kupata ujumbe uliokusudiwa kufikishwa kwao. Wamitila (2008: 409) anasema kuwa, kejeli ni mojawapo ya mbinu zinazotawala maongezi yetu hasa kutokana na uwezo wake wa kuficha hisia, maoni na mitazamo yetu sahihi. Kwa maoni ya Mbatiah (2001: 27), kejeli ni maneno yanayotumiwa katika matamshi kama hayo huwa ni ya kuchoma, kukata na kutia uchungu. Makala haya yanajadili kwa kina njia na mbinu mbalimbali zilizotumika katika kutumia kejeli katika fasihi ya Kiswahili. Mbinu inayoongoza makala ni ile inayoitambua kejeli katika hali ambapo kuna kinyume na Fulani katika usemi, hali au tukio. Suala la msingi katika makala haya ni kuonyesha jinsi mbinu ya kejeli ilivyooneshwa katika Kiswahili kuanzia kabla ya uhuru, baada ya uhuru, azimio la Arusha hadi wakati huu wa utandawazi kumeisaidia kwa kiasi gani jamii ya Kitanzania.

Identiferoai:union.ndltd.org:DRESDEN/oai:qucosa:de:qucosa:11481
Date January 2010
CreatorsMrikaria, Steven Elisamia
ContributorsUniversity of Dar es Salaam, universität Mainz
Source SetsHochschulschriftenserver (HSSS) der SLUB Dresden
LanguageEnglish
Detected LanguageUnknown
Typedoc-type:article, info:eu-repo/semantics/article, doc-type:Text
SourceSwahili Forum 17 (2010), S. 104-125
Rightsinfo:eu-repo/semantics/openAccess
Relationurn:nbn:de:bsz:15-qucosa-94151, qucosa:11598

Page generated in 0.002 seconds