Kyallo Wadi Wamitila aliyezaliwa mwaka 1966 mjini Machakos nchini Kenya ni mwandishi anayeandika katika tanzu za ushairi, tamthilia, hadithi fupi na riwaya. Aidha, ameandika vitabu kadhaa vya watoto. Katika mahojano haya mafupi yaliyofanyika tarehe 03.11.2004 kwa njia za baruapepe tulizungumzia riwaya yake ya pili Bina-Adamu! (2002). Riwaya hii ni juzuu ya kwanza ya trilojia ambayo imeendelezwa na Musaleo! Juzuu ya tatu itaitwa Pumzi za Kovu.
Identifer | oai:union.ndltd.org:DRESDEN/oai:qucosa:de:qucosa:11734 |
Date | 30 November 2012 |
Creators | Wamitila, Kyallo Wadi |
Contributors | University of Nairobi, Universität Mainz |
Source Sets | Hochschulschriftenserver (HSSS) der SLUB Dresden |
Language | Swahili |
Detected Language | Unknown |
Type | doc-type:article, info:eu-repo/semantics/article, doc-type:Text |
Source | Swahili Forum; 12(2005), S. 95-97 |
Rights | info:eu-repo/semantics/openAccess |
Relation | urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-94062, qucosa:11593 |
Page generated in 0.0016 seconds