Chachage Seithy L. Chachage aliyezaliwa mwaka 1955 wilayani Njombe ni mmojawapo wa waandishi wakongwe wa riwaya ya Kiswahili. Hadi hii leo amechapisha riwaya nne. Katika mahojiano haya yaliyofanyika tarehe 30 Machi, mwaka 2004, huko Chuo Kikuu cha Dar es Salaam tulitia mkazo zaidi kwenye riwaya yake mpya Makuadi wa Soko Huria (2002). Hivi sasa mwandishi ni Profesa na Mkuu wa Idara ya Sosholojia ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Identifer | oai:union.ndltd.org:DRESDEN/oai:qucosa:de:qucosa:11731 |
Date | 30 November 2012 |
Creators | Diegner, Lutz |
Contributors | Humboldt-Universität zu Berlin, Universität Mainz |
Source Sets | Hochschulschriftenserver (HSSS) der SLUB Dresden |
Language | Swahili |
Detected Language | Unknown |
Type | doc-type:article, info:eu-repo/semantics/article, doc-type:Text |
Source | Swahili Forum; 11(2004), S. 227-234 |
Rights | info:eu-repo/semantics/openAccess |
Relation | urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-91576, qucosa:11539 |
Page generated in 0.0014 seconds