Spelling suggestions: "subject:"saini"" "subject:"baini""
1 |
Mazungumzo na Adam Shafi juu ya uandishi wake wa riwayaDiegner, Lutz, Shafi, Adam 03 December 2012 (has links) (PDF)
Adam Shafi aliyezaliwa mwaka 1940 kisiwani Unguja ni mmojawapo wa waandishi mashuhuri wa riwaya ya Kiswahili. Hivi sasa mwandishi yumo mbioni kukamilisha muswada wa riwaya yake ya sita iitwayo Mtoto wa Mama. Mbali na uandishi, Adam Shafi aliwahi kufanya kazi mbalimbali za uandishi wa habari na kazi za ushirika wa kimataifa. Ni furaha yetu kubwa kuwa hatimaye tunaweza kutoa mazungumzo hayo baada ya kuyapitia na kuyahariri kidogo tu, kwa vile tunaamini utamu wa lugha inavyozungumzwa katika hali halisi ya maisha una nguvu ya kiujumi inayoweza kumvutia msomaji zaidi.
|
2 |
Mazungumzo na Adam Shafi juu ya uandishi wake wa riwayaDiegner, Lutz, Shafi, Adam 03 December 2012 (has links)
Adam Shafi aliyezaliwa mwaka 1940 kisiwani Unguja ni mmojawapo wa waandishi mashuhuri wa riwaya ya Kiswahili. Hivi sasa mwandishi yumo mbioni kukamilisha muswada wa riwaya yake ya sita iitwayo Mtoto wa Mama. Mbali na uandishi, Adam Shafi aliwahi kufanya kazi mbalimbali za uandishi wa habari na kazi za ushirika wa kimataifa. Ni furaha yetu kubwa kuwa hatimaye tunaweza kutoa mazungumzo hayo baada ya kuyapitia na kuyahariri kidogo tu, kwa vile tunaamini utamu wa lugha inavyozungumzwa katika hali halisi ya maisha una nguvu ya kiujumi inayoweza kumvutia msomaji zaidi.
|
Page generated in 0.0333 seconds