Spelling suggestions: "subject:"swahili, mashairi, baadhi"" "subject:"swahili, mashairi, waadhi""
1 |
Mashairi ya waadhi `verses of admonition`:Frank, P. J. L., Omar, Yahya Ali January 1995 (has links)
Aliyetunga kasiga hii, Sheikh Abgallah al-Husni, alikuwa ni mtu maarufu sana Mombasa .. Kwa muda wa myaka arobaini takriban alikuwa akisomesha elimu za gini, msikiti wa Anisa, Mjuwakale; piya alikuwa akitoa waadhi msikiti huu na mahali pengine .. Antunga kasiga mbili za waadhi, moja katika hizo ndiyo hii tuliyoishereheya katika makala haya .. W akati wa kutungwa waadhi huu - 1368 (mwaka 1948 wa milagi) - Mombasa ilikuwa ikali mji wa kiSawahili, yaani mji wa kilsilamu; lakini kulikuwa kuna mabadiliko makubwa yaanza, mabadiliko ambayo mwisho yanaondowa sura za uSawahili katika Mombasa na pwani nzima ya Afrika ya mashariki.
|
Page generated in 0.0546 seconds