• Refine Query
  • Source
  • Publication year
  • to
  • Language
  • 6
  • 5
  • 1
  • Tagged with
  • 12
  • 12
  • 12
  • 12
  • 12
  • 12
  • 12
  • 12
  • 11
  • 4
  • 3
  • 3
  • 3
  • 3
  • 2
  • About
  • The Global ETD Search service is a free service for researchers to find electronic theses and dissertations. This service is provided by the Networked Digital Library of Theses and Dissertations.
    Our metadata is collected from universities around the world. If you manage a university/consortium/country archive and want to be added, details can be found on the NDLTD website.
1

Philosophy in Utenzi metre: expression of ideas and values in postindependence Swahili historiographic poetry

Rettová, Alena January 2010 (has links)
Makala haya yanachanganua jinsi dhana za kifalsafa zinavyoakisiwa katika ushairi wa Kiswahili yakizingatia hasa tenzi zilizoandikwa kuhusu historia za dola za Kiafrika baada ya kupatikana kwa Uhuru. Tenzi nyingi za kundi hili zilitungwa Tanzania wakati wa ujamaa, ndiyo maana itikadi zinazoelezwa zaidi katika tenzi hizi zinahusiana na falsafa ya ujamaa. Uelekeo huu unaonyeshwa katika uchambuzi wa Utenzi wa Pambazuko la Afrika uliotungwa na Mohammed Seif Khatib na kuchapishwa mwaka 1982, ambao unaakisi falsafa ya ujamaa, itikadi za umoja wa Afrika (Panafricanism) na upingani wa ukoloni, ukigusana pia na imani ya Afrika kuwa chanzo cha mawazo mengi ya kifalsafa (Afrocentrism). Kwa namna hii, inaonekana kwa uwazi kwamba utungaji wa tenzi ni njia muhimu sana ya kueleza falsafa ya kisiasa na ya kihistoria katika utamaduni wa Kiswahili. Njia hii inalingana na njia nyinginezo: mawazo hayohayo yanaelezwa vilevile katika vitabu vya kitaaluma (kwa mfano, vitabu vya Mwalimu Nyerere kuhusu ujamaa), katika riwaya, au katika ushairi wa aina nyingine (kama vile mashairi, ngonjera, n.k.). Tenzi nyingine za hili kundi la ‘tenzi za Uhuru’ zinaakisi vilevile falsafa za aina nyingine, ikiwemo falsafa ya kidini inayotokana na dini ya Uislamu au falsafa ya ‘utu’, ambayo ina mizizi mirefu sana katika tamaduni nyingi za Afrika. Kwa kumaliza, makala yanasisitiza kwamba, tukipenda kufahamu ‘falsafa ya Kiafrika’ ni nini, ni lazima tutazame njia zilizoko na vyombo vilivyoko katika tamaduni za Kiafrika vya kuelezea dhana na thamani, bila ya kutarajia kwamba njia hizo na vyombo hivyo vitakuwa vilevile au vitafanana kimsingi na vyombo vya kawaida vya kuelezea falsafa katika tamaduni za Magharibi (yaani maandishi ya kitaaluma kuhusu falsafa). Ushairi ni njia mojawapo, tena muhimu sana, ya kueleza mawazo ya kifalsafa katika utamaduni wa Kiswahili, lakini ziko na njia nyingine, kama vile maelezo ya taaluma mbalimbali na tanzu nyingi za fasihi na sanaa, ambazo inafaa zitambulikane na ichambuliwe katika fani ya falsafa.
2

Some remarks on Kithaka wa Mberia's poetry

Zúbková-Bertoncini, Elena January 2010 (has links)
Kithaka wa Mberia (b.1956) is one of the most innovative Kenyan poets. Until now he has published four collections of poems and three plays. His poems contain a strong political and social criticism, sometimes in the form of animal allegories. He condemns various acts of violence done to women, like rapes of schoolgirls or prostitution caused by poverty. Some compositions seem life-stories of real persons, others are overtly didactic and moralizing, but in all the theme of social justice is almost obsessive. Another group of poems highlights the author’s concern with his surroundings and with the “health conditions” of the Earth in general; thus, for instance, he denounces the devastation of Kenyan soil in order to get foreign currency. His love of nature makes him address affectionate verses to animals, insects and plants. Formally the poems have little in common with the poetic tradition of the Swahili coast as they are in free verse. Kithaka exhibits a rich vocabulary of botanical and zoological terms and is fond of various forms of word-playing like chiming and punning; an important role in his poetry is played by parallelism. Moreover, he introduces into Kiswahili visual poems where typography is relied upon to perform expressive effects. Kithaka wa Mberia, together with other East African contemporary poets, proves that Swahili poetry is able to express universal themes and can reach a high artistic value even without repeating traditional models.
3

Of plants and women: a working edition of two Swahili plant poems

Vierke, Clarissa January 2007 (has links)
In contrast to the \''classical Islamic tendi\'' where the action as well as the setting is commonly detached from the environmental context of the Swahili coast, the Liyongo poems show an abundance of detailed descriptions and enumerative reviews of material items crucial and characteristic of the particular East African shares of Swahili culture. Frequently reference is also made to the natural environment as plants and their fruits play a prominent role as requisits of both the Swahili natural and cultural setting. Apart from being exploited as central requisite and being referred to as material source in the poems, plants are also extensively used for similes. The Liyongo poems are full of culturally metaphors which are context-dependent and sometimes render the text rather obscure. Without denying that there is, of course, also contemporary poetry employing plants as subject matter or metaphors, in this article I focus on two thematically close poems which we vaguely have to classify as \"old\" while not being able to give exact dates. Although the article suggests to be a thematic view on Swahili poetry, it is primarily a text edition of two poems, the \"Song of the Mjemje\" and the \"Shairi la Mtambuu\", which are both presented together with a critical apparatus.
4

Beyond the Utenzi: narrative poems by Theobald Mvungi

Bertoncini-Zúbková, Elena 09 August 2012 (has links)
Some time ago I came across a tiny collection of poems called Chungu tamu by Theobald Mvungi. The author was born in Mwanga province (Kilimanjaro) probably in the Fifties, as he graduated from the University of Dar es Salaam in 1975 and gained his M.Ed. degree in Nigeria (Ibadan) in 1978. He published his first collection of poems, Raha karaha, in 1982 and his third one, Mashairiya Chekacheka, in 1995. All Mwangi`s poems deal with social problems, but only those of the second collection are formally innovative. Five of the twenty poems of this collection tell a story and I am going to investigate three of them. It is striking and quite unusual in Swahili poetry to present the narration itself as another story. However, it is not the first time that it occurs in modern Swahili poetry. In fact, for instance Kezilahabi´s poem Hadithiya kitoto (from the collection Kichomi, 1974) opens with the scene of the narrator - the grandfather - sitting close to a fire with his grandchildren who want to be told a story, while roasting birds and potatoes. The last two strophes contain grandfather´s comment, i.e. a moral message. Thus the narrative act itself is represented, as it often happens in prose fiction. But whereas in Kezilahabi it only opens or frames the main story, in Mvungi the narrator´s interferences are intermingled with the main story to such an extent that in fact two parallel stories are narrated. I will call them the frame story and the main story.
5

Burdai ya Al-Busiri

Omar, Yahya Ali 30 November 2012 (has links)
The Burda (or `mantle´), an Arabic poem in praise of the prophet Muhammad (s. a.u.), was composed in Egypt by the 7th /13th century poet al-Busiri. Over the centuries the Burda of al-Busiri has become familiar in many parts of the Islamic world, including Swahili-land -where it is known as Burdai. Although it has already been translated into Swahili verse, this seems to be the first occasion that the Burdai has been translated into Swahili prose (into kiMvita, the speech of Swahili Mambasa). The translation which follows employs a new system of orthography which now appears in print for the very first time.
6

Tungo za Mzee Kimbunga: Haji Gora Haji

Samsom, Ridder H. 30 November 2012 (has links)
Haji Gora Haji (1933) is a Swahili poet from Tumbatu. Some people in Zanzibar call him `The Old Hurricane´ after the title and the first poem of his anthology Kimbunga (1994 Dar es Salaam: Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili) that made him well-known all over Taniania. While making a living from the sea, as a fisherman, porter in the harbour, sailor and transporter of cloves, he has been composing, since 1955, a large amount of ngoma and taarab songs, riddles, tenzi and mashairi, short stories and, recently, a short novel. This paper discusses metaphors and images that are characteristic of Haji Gora`s work, the way in which they reveal his identity and how they have been put in terms of contradictions and oppositions.
7

Tungo za kujibizana: `Kuambizana ni sifa ya kupendana´

Samsom, Ridder 30 November 2012 (has links)
Different labels have been used for marking the reciprocity in Swahili dialogue poetry, varying between the more neutral `malumbano´ or `kujibizana´ and the more marked `ukinzani´ or `mashindano´. By showing a sample from the Zanzibari newspaper Mwongozi (1956) of a poetic dialogue on wife-husband relationships, the paper argues that the poetical form and the strong language used are not a mere expression of what has been called `rivalry´, but instruments in expressing views and opinions that have been observed in other literary devices (mithali, misemo, vijembe) and their usage. At the same time it is demonstrated that different types of poems (tenzi, mashairi, nyimbo) and different styles (plain, metaphoric, riddle) are used side by side. The ambiguity, incompleteness and strength of the language that is used in this poetry, make it all possible to express views on sensitive issues in the society.
8

Mwanamke angali tata katika ushairi wa kisasa?

Indede, Florence 03 December 2012 (has links)
Sanaa ya ushairi inajisawiri kama nyenzo muhimu katika maendeleo na ukuaji wa binadamu ulimwenguni. Ujenzi wa taswira zinazowasilisha mada nyeti za kijamii ni changamoto ya kiusanii inayoibua maswala tata. Ndiposa wasilisho hili linachunguza mjadala wa usawiri wa mwanamke katika ushairi wa kisasa. Mada nyingi zinazohakiki matini za kishairi hulenga miuundo, mitindo na maswala mengineyo ya kijamii bila kuangazia swala la utata wa mwanamke. Uzingatifu wa vipengee hivi umefifisha uangafu wa taswira ya mwanamke katika ushairi wa Kiswahili kana kwamba ushairi umempuuza mwanamke kama mhusika mkuu. Tunachukulia kwamba matini za kishairi za kisasa zinahusisha mbinu na nyenzo mpya ambazo zimebadilisha sura na taswira ya mwanamke. Maswali yanayoibuka ni; Je, Mwanamke angali tata katika ushairi wa kisasa kwenye enzi ya karne ya ishirini na moja? Je, umbo jipya la mwanamke ni lipi katika ushairi wa kisasa?
9

Mabadiliko katika umbo la ushairi na athari zake katika ushairi wa Kiswahili

Indede, Florence Ngesa 03 December 2012 (has links)
Mwanadamu amejaribu kwa vyovyote vile kuvumbua na kunyumbua mambo mapya ambayo yataleta mvuto na kupimia akili yake kiubunifu katika hali ya kutaka kutangamana zaidi na binadamu mwenzake au kutaka kuelewa zaidi ulimwengu wake. Ndiposa washairi wengi wa kisasa wanashikilia kwamba ulimwengu unabadilika na hivyo utamaduni wa ushairi lazima ubadilike. Katika wasilisho hili tunajadili mabadiliko haya ya kimaumbo na athari zake katika ushairi wa Kiswahili. Si lengo letu kushawishi msomaji kujiunga na kikundi fulani cha ushairi bali kuangazia hoja mwafaka zinazotokana na mivutano na mikinzano katika mabadiliko haya, na namna mitazamo hii inavyofanikisha maendeleo ya ushairi.
10

Heavenly drops: the image of water in traditional Islamic Swahili poetry

Ranne, Katriina January 2010 (has links)
Iba Ndiaye Diadji, a Senegalese professor of aesthetics, sees water as intrinsic to African ontology. He also argues that water is the most important substance to inspire African artists. (Diadji 2003: 273–275.) Water certainly has a significant role in Swahili poetry, written traditionally by people living on the coast of the Indian Ocean. Swahili poems have used aquatic imagery in expressing different ideas and sensations, in different contexts and times. Water imagery can be found in hundreds of years old Islamic hymns as well as in political poetry written during the colonial German East Africa. This article discusses water imagery in traditional Islamic Swahili poetry.

Page generated in 0.0698 seconds