Spelling suggestions: "subject:"tirisodikgoka ya mekane ba karatani"" "subject:"tirisodikgoka ya mekane ba baratai""
1 |
An exploration of alcohol abuse as a risk factor for Intimate Partner Violence in Kibera, KenyaKariuki, Lydiah Wanjiru 05 1900 (has links)
The purpose of this study was to explore the influence of alcohol abuse on intimate
partner violence (IPV) committed in Kibera, Kenya. The study is premised on the high prevalence of IPV and alcohol abuse in Kenya, especially among informal settlement dwellers. Kenya is geographically located in Eastern Africa. Kibera is an informal settlement in the country’s capital city, Nairobi, and is plagued by extreme poverty, unemployment and crime. A qualitative approach was implemented and a case study research design employed. Non-probability sampling, using purposive and snowball techniques, was used to select research participants. A total of 32 female victims of IPV made up the sample used in the study. Although the study did not intend to exclude males from the sample, no male victims of IPV could be located. Semi-structured interviews were held individually with each participant. Ethical considerations were actively applied throughout the duration of the study. The raw data collected were thematically analysed. The findings of the study revealed that most of the participants were under 40 years old, married, and had at least one child. Their educational levels were limited, and their occupations as well as their partners’ occupations generated low incomes. Physical and psychological abuse were cited as the most common types of abuse. However, sexual abuse was still prevalent and in some cases was extended to the children.
The physical and psychological impacts were identified as the most prevalent effects of IPV. The effects on the children and family were also explored. The study found a strong link between alcohol use and IPV. However, alcohol use and/or abuse could not be identified as the only causal factor of IPV. Interestingly, the participants’ experiences highlighted the patriarchal and cultural milieu significant to Kibera. It was found that the patriarchal nature maintained in Kibera is one of the factors contributing to IPV and its perpetuation. / Utafiti huu ulilenga kuchunguza athari za pombe kwa dhuluma zinazosababishwa na mpenzi unayeshiriki naye ngono (IPV) katika eneo la Kibera nchini Kenya. Utafiti huu unatokana na kiwango cha juu cha hali ya IPV na unywaji wa pombe kupindukia nchini Kenya, hasa kwa wanaoishi kwenye mitaa ya mabanda. Kenya hupatikana katika eneo la kijiografia la Afrika Mashariki. Kibera ni mtaa wa mabanda ambao unapatikana katika mji mkuu wa Nairobi. Kibera inakabiliwa na umasikini uliokithiri, ukosefu wa ajira na uhalifu.
Mbinu ya kutathmini ubora ilitumika, na uchunguzi kifani ulitumika. Sampuli isiyokuwa na welekeo wa uwezekano ilitumika, kwa kutumia mbinu za kimakusudi, na kwa kuongeza mambo utafiti unapoendelea wakati wa kuchagua watu wa kushiriki kwenye utafiti. Jumla ya waathiriwa wa IPV 32 wa kike walitumika kama sampuli katika utafiti huu. Ijapokuwa utafiti haukuwa na lengo la kutowashirikisha wanaume, hakuna muathiriwa wa IPV wa kiume alipatikana. Maswali yaliyokuwa na utaratibu maalum yalitumika kwa kila mshiriki. Maadili yalizingatiwa mno wakati wa mchakato mzima wa utafiti.
Data iliyokusanywa ilichanganuliwa kwa kuzingatia mada. Matokeo ya utafiti huu yalionyesha kuwa wengi wa washiriki waliokuwa na umri usiozidi miaka 40, walikuwa wameolewa na angalau mtoto mmoja. Hawakuwa wamesoma mno, na wao pamoja na wapenzi wao walikuwa na ajira zenye ujira duni. Kupigwa na kuteswa kisaikolojia ni dhuluma zilizojitokeza mno. Hata hivyo, unyanyasaji wa kimapenzi bado ulishuhudiwa na hata wakati mwingine ulifanyiwa watoto. Madhara kwa mwili na ya kisaikolojia yalijitokeza kama athari kuu za IPV. Athari kwa watoto na kwa familia pia zilichunguzwa. Utafiti huu ulionyesha kuwa kuna uhusiano mkuu kati ya matumizi ya pombe kupindukia na IPV. Hata hivyo, matumizi ya pombe/au kulewa kupindukia siyo tu mambo yanayosababisha IPV. Cha kushangaza, hali zilizoelezwa na washiriki zilionyesha umuhimu wa mfumo dume kwa utamaduni wa watu wa Kibera. Iligunduliwa kuwa mfumo wa udume unaoendelea katika eneo la kibera, ni mojawapo wa mambo yanayochangia IPV na kuendelezwa kwake Utafiti huu ulilenga kuchunguza athari za pombe kwa dhuluma zinazosababishwa na mpenzi unayeshiriki naye ngono (IPV) katika eneo la Kibera nchini Kenya. Utafiti huu unatokana na kiwango cha juu cha hali ya IPV na unywaji wa pombe kupindukia nchini Kenya, hasa kwa wanaoishi kwenye mitaa ya mabanda. Kenya hupatikana katika eneo la kijiografia la Afrika Mashariki. Kibera ni mtaa wa mabanda ambao unapatikana katika mji mkuu wa Nairobi. Kibera inakabiliwa na umasikini uliokithiri, ukosefu wa ajira na uhalifu.
Mbinu ya kutathmini ubora ilitumika, na uchunguzi kifani ulitumika. Sampuli isiyokuwa na welekeo wa uwezekano ilitumika, kwa kutumia mbinu za kimakusudi, na kwa kuongeza mambo utafiti unapoendelea wakati wa kuchagua watu wa kushiriki kwenye utafiti. Jumla ya waathiriwa wa IPV 32 wa kike walitumika kama sampuli katika utafiti huu. Ijapokuwa utafiti haukuwa na lengo la kutowashirikisha wanaume, hakuna muathiriwa wa IPV wa kiume alipatikana. Maswali yaliyokuwa na utaratibu maalum yalitumika kwa kila mshiriki. Maadili yalizingatiwa mno wakati wa mchakato mzima wa utafiti.
Data iliyokusanywa ilichanganuliwa kwa kuzingatia mada. Matokeo ya utafiti huu yalionyesha kuwa wengi wa washiriki waliokuwa na umri usiozidi miaka 40, walikuwa wameolewa na angalau mtoto mmoja. Hawakuwa wamesoma mno, na wao pamoja na wapenzi wao walikuwa na ajira zenye ujira duni. Kupigwa na kuteswa kisaikolojia ni dhuluma zilizojitokeza mno. Hata hivyo, unyanyasaji wa kimapenzi bado ulishuhudiwa na hata wakati mwingine ulifanyiwa watoto. Madhara kwa mwili na ya kisaikolojia yalijitokeza kama athari kuu za IPV. Athari kwa watoto na kwa familia pia zilichunguzwa. Utafiti huu ulionyesha kuwa kuna uhusiano mkuu kati ya matumizi ya pombe kupindukia na IPV. Hata hivyo, matumizi ya pombe/au kulewa kupindukia siyo tu mambo yanayosababisha IPV. Cha kushangaza, hali zilizoelezwa na washiriki zilionyesha umuhimu wa mfumo dume kwa utamaduni wa watu wa Kibera. Iligunduliwa kuwa mfumo wa udume unaoendelea katika eneo la kibera, ni mojawapo wa mambo yanayochangia IPV na kuendelezwa kwake Utafiti huu utakuwa na manufaa kwa waathiriwa wa IPV, jamii wanazotoka na watungaji wa sheria za kitaifa bila kusahau jamii ya watafiti wa kisayansi. / Maikemisetso a thutopatlisiso eno e ne e le go tlhotlhomisa tshusumetso ya tiriso e e botlhaswa ya nnotagi mo tirisodikgokeng ya balekane ba baratani (IPV) e e diragalang kwa Kibera, Kenya. Thutopatlisiso e theilwe mo tiragalong e e kwa godimo ya IPV le tiriso e e botlhaswa ya nnotagi kwa Kenya, bogolo segolo magareng ga banni ba mafelo a baipei. Kenya e fitlhelwa kwa Botlhaba jwa Aforika. Kibera ke lefelo la baipei mo motsemogolong wa naga, Nairobi, mme e aparetswe ke lehuma, botlhokatiro le bosenyi jo bo boitshegang.
Go dirisitswe molebo o o lebelelang mabaka mme ga dirisiwa thadiso ya thutopatlisiso e e lebelelang kgetse. Go dirisitswe mokgwa wa go tlhopha sampole moo baagi ba se nang tšhono e e tshwanang ya go nna le seabe le dithekeniki tsa go tlhopha sampole go ya ka maitlhomo le go letla banni-le-seabe ba pele go ngokela ba bangwe go tlhopha banni-le-seabe ba patlisiso. Palogotlhe ya batswasetlhabelo ba basadi ba IPV ba le 32 e nnile sampole e e dirisitsweng mo thutopatlisisong. Le fa thutopatlisiso e ne e sa ikaelela go se akaretse banna mo sampoleng, go ne go se na batswasetlhabelo bape ba IPV ba banna ba ba tlhageletseng. Go nnile le dipotsolotso tse di batlileng go rulagana tse di tshwerweng le monni-le-seabe mongwe le mongwe ka sebele. Go dirisitswe ntlha ya maitsholo a a siameng ka botlhaga mo tsamaong ya thutopatlisiso yotlhe.
Data e e kokoantsweng e ne ya lokololwa go ya ka meono. Diphitlhelelo tsa thutopatlisiso di senotse gore bontsi jwa banni-le-seabe ba ne ba le dingwaga tse di kwa tlase ga 40, ba nyetswe mme ba na le bonnye ngwana a le mongwe. Seelo sa bona sa thuto se ne se lekanyeditswe mme ditiro tsa bona gammogo le tsa balekane ba bona di ne di tsenya letseno le le kwa tlase. Tshotlakako ya mo mmeleng le ya maikutlo di tlhagisitswe jaaka mefuta e e tlwaelegileng thata ya tshotlakako. Le gale, tshotlakako ya thobalano e ne e ntse e le teng mme mo mabakeng mangwe e ne e fetela le mo baneng. Ditlamorago tsa mo mmeleng le mo tlhaloganyong di supilwe jaaka ditlamorago tse di bonalang thata tsa IPV. Go lebeletswe le ditlamorago mo baneng le mo lelapeng. Thutopatlisiso e fitlhetse go na le kgolagano e e maatla magareng ga tiriso ya nnotagi le IPV. Le gale, tiriso le/gongwe tiriso e e botlhaswa ya nnotagi ga e a supiwa e le yona fela ntlha e e bakang
xi
IPV. Se se kgatlhisang ke gore maitemogelo a banni-le-seabe a senotse ka moo tsamaiso e e letlang banna go laola basadi le setso di laolang basadi ka gona mo loagong e leng se se maleba tota kwa Kiberia. Go fitlhetswe gore tsamaiso ya setšhaba e e letlang banna go laola basadi e e tswelediwang kwa Kiberia ke nngwe ya dintlha tse di tshwaelang le go etegetsa IPV.
Thutopatlisiso e lebeletse go ungwela batswasetlhabelo ba IPV, baagi ba selegae le lekgotlataolo la bosetšhaba, gammogo le dipatlisiso tsa saense. / Criminology and Security Science / M.A. (Criminology)
|
Page generated in 0.0718 seconds