Spelling suggestions: "subject:"swahili""
41 |
Maenezi ya Lugha ya Kiswahili Nchini Sudan Kusini: Mafanikio na ChangamotoHabwe, John Hamu 30 May 2022 (has links)
Utafiti huu unachunguza maenezi ya lugha ya Kiswahili katika taifa la Sudan Kusini kwa kuangazia njia zilizotumika kuisambaza hii lugha ya Kiswahili nchini humo. Unachunguza pia changamoto za lugha ya Kiswahili nchini Sudan Kusini na mustakabali wake. Data ya utafiti huu imekusanywa nyanjani kupitia kifaa cha mahojiano ambapo tuliwahoji wenyeji wa Sudan Kusini na wafanyakazi wa mashirika mbalimbali nchini Sudan Kusini. Utafiti huu umebaini kuwa Kiswahili kimeingia Sudan Kusini kwa msaada wa nyenzo mbalimbali kama vile vita, biashara, elimu, maingiliano ya mipakani, dini na ndoa. Utafiti huu pia unajadili baadhi ya vizuizi vinavyoweza kutatiza ukuaji na ueneaji wa Kiswahili katika taifa la Sudan Kusini kama vile tishio kubwa la ushindani na upinzani wa makundi ya lugha za Sudan Kusini na lugha ya Kiarabu ambayo ndiyo lugha ya maenezi mapana, na hali kadhalika lugha ya Kiingereza ambayo ni moja katika lugha zinazoenziwa katika taifa la Sudan Kusini hasa kwa kuwa lugha ya kimataifa. Imebainika pia kuwa sababu kubwa za kujifundisha Kiswahili kwa wenyeji wengi wa Sudan Kusini kumechangiwa na haja ya kutaka kujitambulisha na kujinasibisha na makundi mbalimbali ya Afrika Mashariki. Utafiti huu unahoji pia kuwa mustakabali wa lugha ya Kiswahili utategemea sera ya lugha nchini Sudan Kusini na utekelezaji wa matakwa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ya kufanya Kiswahili kuwa lugha ya maenezi mapana katika eneo la Afrika Mashariki nakopatikana nchi ya Sudan Kusini. / This paper examines the spread of Swahili to South Sudan. It explores the challenges of the language in South Sudan and its potential future status and use. Data from this study were collected through interviews with South Sudanese residents and employees of various organizations. The study reveals that Swahili has gained ground in South Sudan due to war, trade, education, cross-border interaction, religion and marriage practices. This study also discusses some of the impeding barriers to the growth and spread of the language, e.g., with reference to the status and use Arabic and English. It is also observed that among the main reasons for learning Swahili for many South Sudanese people is the need to identify with other East Africans. The study also argues that the future of the language will depend on the language policies in South Sudan and the implementation of the East African Community's aspirations to make Swahili a widespread language beyond its core regions.
|
42 |
Review of Un autre regard sur l’histoire congolaise. Les documents arabes et swahilis dans les archives belges (1880-1899). Fontes Historiae Africanae. Ed. by Xavier LuffinNassenstein, Nico 30 May 2022 (has links)
This book review discusses Xavier Luffin's “Un autre regard sur l'histoire congolaise”, a recent collection of documents in Arabic and Swahili from the Congo in Belgian archives covering the period between 1880 and 1899. The author summarizes and comments on the structure, content, and scope of the book. / Tathmini hii ya kitabu inajadili “Un autre regard sur l'histoire congolaise” ya Xavier Luffin, mkusanyo wa hivi majuzi wa hati za Kiarabu na Kiswahili kutoka Kongo katika kumbukumbu za Ubelgiji zinazohusu kipindi cha kati ya 1880 na 1899. Mwandishi wa tathmini anatoa muhtasari na kutoa maoni kuhusu muundo, maudhui, na upeo ya kitabu.
|
43 |
Translating Culture: Literary Translations into Swahili by East African Translators.Flavia, Aiello Traore 27 March 2014 (has links)
Lengo la makala hii ni kujaribu kufafanua jinsi wafasiri walivyotafsiri kwa Kiswahili baadhi ya riwaya zilizoandikwa kwa lugha za kigeni, enzi za baada ya nchi za Afrika kujipatia uhuru. Kwa ajili ya mada yenyewe nimechagua mkusanyo wa riwaya nne zilizotafsiriwa na Watanzania, yaani Shamba la wanyama (kilichoandikwa na Fortunatus Kawegere, 1967), Shujaa Okonkwo (Clement Ndulute, 1973), Mzee na bahari (Cyprian Tirumanywa, 1980) na Barua ndefu kama hii (Clement Maganga, 1994). Wafasiri hao walikabiliana vipi na vipengele vya kitamaduni vya lugha chanzi (za jamii zenye maisha, dini, misemo, methali tofauti na yao n.k.)? Kwa kuzingatia swali hilo, makala inaeleza baadhi ya mbinu zilizotumiwa na watafsiri wa Kiswahili wakishughulika na maandishi kutoka kwa fasihi ya kigeni.
|
44 |
Un créole arabe: le kinubi de Mombasa :étude descriptiveLuffin, Xavier 31 January 2004 (has links)
Les Nubi, une communauté musulmane répartie principalement entre l'Ouganda, le Kenya et la Tanzanie, sont originaires du Sud du Soudan. Ils sont arrivés à la fin du 19ème siècle en Afrique de l'Est, mais ils sont conservé leurs traditions et surtout leur langue :le kinubi. Il s'agit d'un créole arabe, proche du parler de Juba (Soudan), fortement influencé par le kiswahili (et l'anglais). Le but de cette recherche est de comparer le parler de Mombasa à ceux de Kibera (Kenya) et de Bombo (Ouganda), et d'analyser l'importance et les causes de l'influence du kiswahili sur cette langue, sur le plan du vocabulaire et de la grammaire. <p><p>The Nubi, a Muslim community living mainly in Uganda, Kenya and Tanzania, originate from Southern Sudan, which they left at the end of the 19th century. They kept their traditions alive, as well as their language :the Kinubi. This language is an Arabic based Creole, related to Juba Arabic (Sudan) but strongly influenced by Swahili (and English). Our aim is to compare the Kinubi spoken in Mombasa with the one of Kibera (Kenya) and Bombo (Uganda), and to analyze the way Swahili influences this language, in both vocabulary and grammar, as well as the reasons of this phenomenon. / Doctorat en philosophie et lettres, Orientation langue et littérature / info:eu-repo/semantics/nonPublished
|
Page generated in 0.0236 seconds