Kasha langu ilianza kuimbwa Mambasa takriban myaka arbaini iliyopita, na leo nyimbo hii ikali ikipengeza tangu Mambasa mpaka Unguja, na hata Maskati pia. Na kupengeza huku si kwa sababu ya maneno yake tuu, bali ni kwa sababu hayo maneno yantukuana na mahadhi yake sawa sawa, na ndiyo ikawa haisahauliki kwa utamu wake. Sehemu ya kwanza ya makala haya inahusu ule wimbo wenyewe, yaani mtungaji, utungo wake, matini, tarjuma yake kwa kiIngereza, na maelezo ya maneno magumu; sehemu ya pili inahusu mambo yaliofungamana na hayo mahadhi.
Identifer | oai:union.ndltd.org:DRESDEN/oai:qucosa.de:bsz:15-qucosa-97984 |
Date | 30 November 2012 |
Creators | Frankl, P.J.L., Omar, Yahya Ali, Topp Fargion, Janet |
Contributors | Universität zu Köln, Institut für Afrikanistik |
Publisher | Universitätsbibliothek Leipzig |
Source Sets | Hochschulschriftenserver (HSSS) der SLUB Dresden |
Language | English |
Detected Language | Unknown |
Type | doc-type:article |
Format | application/pdf |
Source | Swahili Forum; 5(1998), S. 17-25 |
Page generated in 0.0025 seconds