Makala haya yamekusudia kujadili hali ya vitabu vya watoto katika
Tanzania. Lengo letu ni kutathmini, kwa namna fulani, hali ya ujenzi wa
elimu ya msingi katika nchi yetu, matatizo yanayokwamisha kustawi
kwa elimu ya msingi na namna ya kuyapatia suluhu. Katika juhudi za
kutafuta suluhu, tutaeleza namna Mradi wa Vitabu vya watoto
unavyotoa mchango wake mkubwa. Hata hivyo, itafaa tuanze kwa
kupitia historia fupi ya vitabu vya watoto katika Tanzania.
Identifer | oai:union.ndltd.org:DRESDEN/oai:qucosa.de:bsz:15-qucosa-98136 |
Date | 30 November 2012 |
Creators | Madmulla, J. S. |
Contributors | University of Dar es Salaam, Kiswahili Department, Universität zu Köln, Institut für Afrikanistik |
Publisher | Universitätsbibliothek Leipzig |
Source Sets | Hochschulschriftenserver (HSSS) der SLUB Dresden |
Language | Swahili (individual language) |
Detected Language | Unknown |
Type | doc-type:article |
Format | application/pdf |
Source | Swahili Forum; 8(2001), S. 171-183 |
Page generated in 0.002 seconds