Spelling suggestions: "subject:"gustav neuhaus"" "subject:"gustav neuhauss""
1 |
Gustav Neuhaus: mwalimu wa Kiswahili, mhariri na mtumishi wa serikali ya kikoloniBromber, Katrin 23 August 2012 (has links) (PDF)
Watumishi wa Taasisi ya Mambo ya Kiafrika ya Chuo Kikuu cha Humboldt walipotayarisha kuhama kwa taasisi yao kutoka
Reinhardtstrasse mwaka 1995, boksi la jivu ilipatikana ndani
ya kabati la chuma. Ndani yake zilihifadhiwa nyaraka za Kiswahili na
Kiarabu zilizoandikwa kwa hati za Kiarabu. Kufuatana na lugha na
maelezo yalioyoongezwa nyaraka hizo zilitoka Afrika Mashariki na
kukusanywa na Gustav Neuhaus mwishoni mwa karne iliyopita. Lengo
la makala hii ni yafuatayo: kutoa maelezo machache juu ya maisha ya
Gustav Neuhaus, kuzungumzia matoleo yake ili kufafanua mchango
wake katika masomo ya Kiswahili mjini Berlin na katika kupanua ujuzi
juu ya lugha na utamaduni wa Waswahili, kutumia mada ya utumwa
kama ilivyoelezwa katika nyaraka mbalimbali za mkusanyo wa Neuhaus
ili kuonyesha umuhimu wa nyaraka hizo kwa historia ya Afrika Mashariki.
|
2 |
Gustav Neuhaus: mwalimu wa Kiswahili, mhariri na mtumishi wa serikali ya kikoloniBromber, Katrin 23 August 2012 (has links)
Watumishi wa Taasisi ya Mambo ya Kiafrika ya Chuo Kikuu cha Humboldt walipotayarisha kuhama kwa taasisi yao kutoka
Reinhardtstrasse mwaka 1995, boksi la jivu ilipatikana ndani
ya kabati la chuma. Ndani yake zilihifadhiwa nyaraka za Kiswahili na
Kiarabu zilizoandikwa kwa hati za Kiarabu. Kufuatana na lugha na
maelezo yalioyoongezwa nyaraka hizo zilitoka Afrika Mashariki na
kukusanywa na Gustav Neuhaus mwishoni mwa karne iliyopita. Lengo
la makala hii ni yafuatayo: kutoa maelezo machache juu ya maisha ya
Gustav Neuhaus, kuzungumzia matoleo yake ili kufafanua mchango
wake katika masomo ya Kiswahili mjini Berlin na katika kupanua ujuzi
juu ya lugha na utamaduni wa Waswahili, kutumia mada ya utumwa
kama ilivyoelezwa katika nyaraka mbalimbali za mkusanyo wa Neuhaus
ili kuonyesha umuhimu wa nyaraka hizo kwa historia ya Afrika Mashariki.
|
Page generated in 0.0458 seconds