Katika kuangalia lugha ya Kiswahili, utaona kuwa uchaguzi wa lugha hii kama lugha ya taifa nchini Kenya na kama lugha ya taifa na lugha rasmi nchini Tanzania unatokana na mambo mengi ya kihistoria, kisiasa, kidini na hata kijamii. Mambo haya yamesaidia katika kukubalika kwa lugha hii na watu wengi katika nchi hizi na nchi nyinginezo ulimwenguni. Makala haya yananuiwa hasa kuangalia namna ambavyo vita mbalimbali vilivyosaidia katika uenezaji na ukuaji wa lugha ya Kiswahili katika ule makabala wa kuangalia historia ya Kiswahili.
Identifer | oai:union.ndltd.org:DRESDEN/oai:qucosa.de:bsz:15-qucosa-94697 |
Date | 23 August 2012 |
Creators | Ngugi, Pamela M. Y. |
Contributors | Kenyatta University, Kiswahili and African Languages, Universität zu Köln, Insitut für Afrikanistik |
Publisher | Universitätsbibliothek Leipzig |
Source Sets | Hochschulschriftenserver (HSSS) der SLUB Dresden |
Language | Swahili (individual language) |
Detected Language | Unknown |
Type | doc-type:article |
Format | application/pdf |
Source | Swahili Forum 6 (1999), S. 131-136 |
Page generated in 0.0013 seconds