• Refine Query
  • Source
  • Publication year
  • to
  • Language
  • 2
  • 1
  • 1
  • Tagged with
  • 2
  • 2
  • 2
  • 2
  • 2
  • 2
  • 2
  • 2
  • 2
  • 2
  • 2
  • About
  • The Global ETD Search service is a free service for researchers to find electronic theses and dissertations. This service is provided by the Networked Digital Library of Theses and Dissertations.
    Our metadata is collected from universities around the world. If you manage a university/consortium/country archive and want to be added, details can be found on the NDLTD website.
1

Kasida ya Hamziyyah (part 1)

Mutiso, Kineene Wa 30 November 2012 (has links) (PDF)
Kasida ya Hamziyyah, yumkini, ndiyo tafsiri ya Kiswahili ya zamani zaidi. Kiswahili kilichotumiwa katika ukawafi huu kimechakaa sana hata maneno mengine hayatumiki tena. Hii ni kasida ambayo ni maarufu sana katika ulimwengu wa fasihi na dini ya Kiislamu na Waswahili huikariri wakati wa sherehe za Maulidi ya Nabii Muhammadi au wanapocheza Twari la Ndiya. Kasida hii ya Hamziyah pia hujulikana kama Chuo cha Hamziyah au Utenzi wa Hamziyah. Kasida ya Hamziyyah ilitafsiriwa kutoka kwa Kiarabu na Sayyid Aidarus bin Athumani bin Sheikh Abubakar bin Salim hapo mwaka wa 1652b. Pamoja na kuinukuu kwa hati za Kirumi nimebawibu Hamziyah katika sehemu mbalimbali, kulingana na maudhui yake, ili iweze kusomeka kwa urahisi na iweze kuwavutia wasomaji. Katika miswada ya Kiswahili niliyoipata, mswada mmoja una ubeti mmoja zaidi.
2

Kasida ya Hamziyyah (part 1)

Mutiso, Kineene Wa 30 November 2012 (has links)

Page generated in 0.0459 seconds