Makala haya yanachanganua ishara na uashiriaji kama mbinu ya kimtindo ya kuwasilisha maana na kukuza uhusika na maudhui katika riwaya ya Nyuso za Mwanamke (2010) ya Said Ahmed Mohamed. Nimechanganua aina tatu za ishara ambazo ni ishara bia, ishara za kaida na ishara za kifasihi kama zinavyoainishwa na Frye na wenzake (1985). Lengo kuu ni kuchanganua na kubainisha jinsi ishara zinavyowasilisha maana na itikadi za jamii katika matini husika. Ishara hizi pia husaidia kukuza maudhui, ploti na kuongeza ujumi katika matini za kifasihi. / This article analyses symbols and symbolism as stylistic devices of communicating meaning and as a technique of characterisation and theme development in Nyuso za Mwanamke (The Faces of a Woman, 2010) written by Said Ahmed Mohamed. I analysed three types of symbols which are natural symbols, conventional symbols and literary symbols following Frye et al. (1985). This study aims at showing how symbols are used in literary works to communicate meaning and the ideology of the society depicted in the text. Symbols also help to build the theme, the plot and adding aesthetic value in literary texts.
Identifer | oai:union.ndltd.org:DRESDEN/oai:qucosa.de:bsz:15-qucosa-199703 |
Date | 30 March 2016 |
Creators | Wanyonyi, Mukhata Chrispinus |
Contributors | Maasai Mara University, E-smart College, Universität Leipzig, Institut für Afrikanistik |
Publisher | Universitätsbibliothek Leipzig |
Source Sets | Hochschulschriftenserver (HSSS) der SLUB Dresden |
Language | Swahili (individual language) |
Detected Language | Unknown |
Type | doc-type:article |
Format | application/pdf |
Source | Swahili Forum 22 (2015), S. 104-118 |
Page generated in 0.0024 seconds