• Refine Query
  • Source
  • Publication year
  • to
  • Language
  • 98
  • 34
  • 17
  • 17
  • 1
  • 1
  • 1
  • 1
  • Tagged with
  • 136
  • 136
  • 136
  • 136
  • 136
  • 106
  • 68
  • 68
  • 68
  • 46
  • 44
  • 36
  • 32
  • 24
  • 18
  • About
  • The Global ETD Search service is a free service for researchers to find electronic theses and dissertations. This service is provided by the Networked Digital Library of Theses and Dissertations.
    Our metadata is collected from universities around the world. If you manage a university/consortium/country archive and want to be added, details can be found on the NDLTD website.
61

Existentialism and feminism in Kezilahabi`s novel Kichwamaji

Sakkos, Tiina 16 August 2012 (has links) (PDF)
Makala hii inachambua riwaya ya pili ya mwandishi maarufu wa Kiswahili, Euphrase Kezilahabi (*1944) iitwayo Kichwamaji (1974). Inajaribu kuzingatia mikondo miwili ya uchambuzi yaani inajadili kwa ufupi nadharia ipi au mkondo upi wa kimawazo unafaa zaidi katika kuichambua riwaya hiyo: udhanaishi au ufeministi. Je, inawezekana kuunganisha yote mawili? / In this essay, I would like to analyse the novel Kichwamaji (‘Empty-head’; 1974) by the well-known Tanzanian writer Euphrase Kezilahabi against the background of two philosophical theories: existentialism and feminism. I will first discuss existentialism and the existentialist elements in the novel. Then I will present feminist theory and focus on the female characters in Kichwamaji. I will argue that a feminist reading of the novel is impossible due to its predominant existentialist character.
62

Lidství utu? Ubinadamu baina ya tamaduni

Rettová, Alena 30 November 2012 (has links) (PDF)
Taking its depature point in a translation of a play by a Czech playwright and philosopher, Václav Havel, into Swahili, the article strives at a cross-cultural comparison of a pivotal concept of Havel`s thought, lidství (`humanity´), and an equally central concept of Swahili moral and philosophical thought, utu. The basis of this copmparison is, on the Czech side, an explanation of Havel`s concept and its grounding in existentialist philosophy. The Swahili side is presented in a two-step procedure. First, the semantic field of `humanity´in the Swahili language, comprising utu and several concepts related to it (especially ubinadamu), is analyzed. Second, the concepts belonging to the semantic field of utu are traced in the development of Swahili literature, as a prominent representative of intellecual discourses in the Swahili culture.
63

Kazimoto and Meursault: `Brothers´in despair and loneliness.

Řehák, Vilém 30 November 2012 (has links) (PDF)
Makala haya yanashughulikia maswahli ya udhanaishi katika fasihi ya Kiswahili. Makala yanalinganisha riwaya mbili, Mgeni ya mwandishi wa Kifaransa anayeitwa Albert Camus na Kichwamachi ya mwandishi wa Kiwahili, Euphrase Kezilahabi, na kuonyesha jinsi riwaya hizo zinayofanana na zinavyotofautiana. Kwa vile Kichwamaji inafanana na Mgeni, ni sahihi humwita Kezilahabi mwandishi ya udhanaishi, lakini kuna tofauti nyingi pia baina ya riwaya hizo mbili. Tofauti moja ni kwamba Albert Camus anamtazama mtu peke yake na hali yake iliyotengwa kabisa na watu wengine, na Kezilahabi, licha ya mtu peke yake, anaizingatia jamii nzima na hali yake vilevile. Tofauti hii ni tokeo la sifa za communalism katika mawazo Kiafrika ya kimapokeo yanayotilia mkazo jamaa na jami, siyo mtu peke yake. / This article analyses and compares the the two writings Kichwamaji by Euphrase Kezilahabi and L´etranger by Albert Camus. Written in the tradition of existentialism, the two writings have many similarities but also differ in some important aspects. While Camus sees the individual just by itself, Kezilahabi also includes the whole family and is writing with it in the tradition of the african communalism.
64

`The best of all possible worlds´?

Rettová, Alena 30 November 2012 (has links) (PDF)
The German philosopher and mathematican Gottfried Wilhelm Leibnitz, maintained that this world god created was the best of all possible worlds. God could not have created a world that would contain a contradiction. In Descartes`opossed view, it was possible for God to create a world containing contradictions. The two philosophers`s dispute concerned the issue of what is it that is necessary, as opossed to that which is arbitrary, in a created world. Against this background, I would like to discuss William E. Mkufya`s novel, Ziraili na Zirani.
65

Shaaban Robert in the Russian language

Zhukov, Andrei 30 November 2012 (has links) (PDF)
Marehemu Shaaban Robert is well-known in Russia not only among specialists, but also in the circles of the reading public at large. It was in Russian (the only European language) in which Shaaban Robert´s prose writings were translated for the first time for the general reader. The creative work of Shaaban Robert occupies a special place in the scientific research of Russian scholars. They regard him as a philosopher, a distinguished public figure, a founder of modern literature in Kiswahili who connects centuries-old traditions of Swahili oral and written literature with the demands of modern times. Affirming new social ideals and expressing views of the new intellectual elite, Shaaban Robert, through his literary works, directly participated in the development of the political and philosophical ideas of his country.
66

Mazungumzo na Lutz Diegner juu ya riwaya ya Ziraili na Zirani

Mkufya, William E. 30 November 2012 (has links) (PDF)
William E. Mkufya aliyezaliwa mwaka 1953 wilayani Lushoto, Tanga, nchini Tanzania ni mmojawapo wa waandishi wakongwa wa riwaya ya Kiswahili. Hadi hii leo amechapisha riwaya nne. Aidha, ameandika vitabu kumi na viwili vya watoto na kutafsiri baadhi ya vitabu, kama vile riwaya ya Kiu ya Mohamd Suleiman Mohamed. Riwaya za Ziraili na Zirani na Ua la Faraja zimeshinda Tuzo la Fasihi ya Kitaifa Tanzania katika kiwango cha Muswada Bora wa Riwaya mnamo 1999 na 2001. Katika mazungumzo haya yaliyofanyika tarehe 29 Januari, mwaka 2004, huko TYCS, Upanga, Dar es Salaam tulitia mkazo zaidi kwenye riwaya yake ya kiepiki Ziraili na Zirani (1999).
67

Mahojano mafupi na Lutz Diegner juu ya riwaya ya Bina-Adamu!

Wamitila, Kyallo Wadi 30 November 2012 (has links) (PDF)
Kyallo Wadi Wamitila aliyezaliwa mwaka 1966 mjini Machakos nchini Kenya ni mwandishi anayeandika katika tanzu za ushairi, tamthilia, hadithi fupi na riwaya. Aidha, ameandika vitabu kadhaa vya watoto. Katika mahojano haya mafupi yaliyofanyika tarehe 03.11.2004 kwa njia za baruapepe tulizungumzia riwaya yake ya pili Bina-Adamu! (2002). Riwaya hii ni juzuu ya kwanza ya trilojia ambayo imeendelezwa na Musaleo! Juzuu ya tatu itaitwa Pumzi za Kovu.
68

Mahojano na Ben R. Mtobwa

Gromov, Mikhail D. 03 December 2012 (has links) (PDF)
Mahojiano haya yamefanyika tarehe 11 Januari 2008, mjini Mainz, Ujerumani, wakati wa Kongamano la Tisa la Janheinz Jahn “Beyond ‘murder by magic’: investigating African crime fiction” lililofanyika Chuo Kikuu cha Mainz.
69

Mazungumzo na Adam Shafi juu ya uandishi wake wa riwaya

Diegner, Lutz, Shafi, Adam 03 December 2012 (has links) (PDF)
Adam Shafi aliyezaliwa mwaka 1940 kisiwani Unguja ni mmojawapo wa waandishi mashuhuri wa riwaya ya Kiswahili. Hivi sasa mwandishi yumo mbioni kukamilisha muswada wa riwaya yake ya sita iitwayo Mtoto wa Mama. Mbali na uandishi, Adam Shafi aliwahi kufanya kazi mbalimbali za uandishi wa habari na kazi za ushirika wa kimataifa. Ni furaha yetu kubwa kuwa hatimaye tunaweza kutoa mazungumzo hayo baada ya kuyapitia na kuyahariri kidogo tu, kwa vile tunaamini utamu wa lugha inavyozungumzwa katika hali halisi ya maisha una nguvu ya kiujumi inayoweza kumvutia msomaji zaidi.
70

Tamaduni na fasihi za kienyeji kwa lugha za kigeni

Shatry, Alwi M. 03 December 2012 (has links) (PDF)
Uhusiano baina ya lugha na utamaduni, mila na mirathi ya jamii kwa jumla huenda ukafahamika angalau kwa wepesi, iwapo tutazingatia mambo mawili: kwanza, lugha na matumizi yake ni chombo cha kujieleleza thamani tafauti zilizofungamana na maumbile ya kimila, fikira, maarifa, imani, adabu na utamaduni wa jamii yenyewe kwa jumla. Pili, matumizi ya lugha aghlabu husadifu kuwa ndio msingi wa kuendeleza na kukuza, na hata pia kubuni, uzushi mpya katika mirathi ya utamaduni, mila na khulka za kijamii. Kwa hivyo si rahisi kwa lugha kutengamana na taswira za jamii: utu, utamaduni, mila, mitindo na mengineo. Tungependa kuandaa madhumuni yetu ya kuonesha athari na hatari zinazokabili hali ile ya kutumia lugha geni katika kuendeleza shughuli za jamii au taifa la kienyeji. Muhimu pia, tutashughulika na athari za mtindo huo katika fasihi za kienyeji, hasa tunapozingatia kuwa fasihi ya maandishi ni mfano wa kioo cha hakika ya jamii.

Page generated in 0.1045 seconds